Natafuta mke wa kuoa

Mtaani kwenu huko hakuna mwenye sifa utakazo?
Inaonyesha wewe domo zege

Hivi Unadhani crew ya JF walikuwa wajinga kuweka hii jukwaa la love connect?Nyie ndio waharibifu wakubwa na mnapoteza maana ya hili jukwaa na kushusha hadhi ya JF kwa ujumla wakati lilikuwa na maana nzuri tu.Badilikeni!!sio kukashifu kila kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom