Natafuta Mke wa kuoa!

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
814
Wana jf heshima zenu kwanza.Natafuta mweza awe kuanzia miaka 23-27,Elimu form six.Mimi kwa sasa niko ughaibuni nasoma nategemea kurudi Tanzania mwakani by july nima miaka 29.Kwa yeyote anayenikubali ani PM ili mawasiliano mengine yaanze na kujuana zaidi.
 
tupo tele huna haja ya kulenga ukiwa mbali wewe ukirudi utapata siku hiyohiyo
 
Hivi nyie watu mkoje lkn Love Connect huioni? Au unajianzishia mthread tu popote? Km hujaingia muda soma mazingira kwanza kuna mabadiliko mengi
 
na hawa old member wao hawatafuti wachumba? Au ndo mnawaachia hawa wapya tu, kwanini lkn?
 
"mke" wa "kuoa"..........???
nahisi sijui kiswahili,....unatafuta mke wa kuoa,au,yaani unatafuta mtu ambaye unae tayari,....
this is funny
 
"mke" wa "kuoa"..........???
nahisi sijui kiswahili,....unatafuta mke wa kuoa,au,yaani unatafuta mtu ambaye unae tayari,....
this is funny[/QUOTE]

Mkuu natafuta msichana wa kuoa,
 
Naona unanitia moyo,Ila ningependa nimpate mwaka huu ili nikija tz tunamalizia tu.
 

eti umesemaa......?

nataka na ww nikuone ktk utafutaji.
Unakuja from no where natafuta mchumba. Hii naona ni manual finding na siyo nzuri ktk utafutaji.
Jiunge jf, jijengee mazingira ya kuitumia jf vizuri utambulike na wewe uwatambuwe memberz, then ndo uibuke na lengo lako la kutafuta mchumba. Na unaweza kumpata automatic bila ya kuweka thread (kitu muhimu usijifanye kuwa na haraka).
 
ndio hao hao wanabadili user name zao, haiwezekani kila anayetafuta mchumba awe new member

nakubaliana na ww kwa % nyingi. Na kwakuwa wameshatongoza saana basi wanashindwa kutumia user name zao za kawaida kwa kuhofia kusemwa vibaya
 
Wana jf heshima zenu kwanza.Natafuta mweza awe kuanzia miaka 23-27,Elimu form six.Mimi kwa sasa niko ughaibuni nasoma nategemea kurudi Tanzania mwakani by july nima miaka 29.Kwa yeyote anayenikubali ani PM ili mawasiliano mengine yaanze na kujuana zaidi.

Tuko wengi we rudi utapata bila wasi wasi, ops poor kuna kigezo kimoja sikidhi hapo
 
Hi cobra!

Vp tena shemeji yangu???? kwa taarifa nilizonazo ww ni shem wangu picha na informatioon zote nazijua. We si uko Urusi wewe??? ndo umemuacha kimya kimya auuuuuuu??? kwa mpango huo utaacha wangapi???? kuchamba kwingi kushika mavi.
Rafiki yetu katulia anajua anamchumba kumbe hovyooooo sagula sagula.
Unawaharibia wenzako walio serious kutumia sehemu kutafutia wenza wao.
Nilijua unachukua masters ya Engeering kumbe babaaaa tifua tifua.
Tabia mbayaaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom