Natafuta mke' ushauri kuhusu ndoa

ofkoz na mimi huwa sivutiwi na namna mnavyoharibu maneno na maandish et xana?ujinga huu
 
thanks a lot bro' pakajimmy ushauri wako ni mwema xana kwangu na nitajitahidi kuzingatia.

From woman point of view, ushauri wa Kongosho na Preta kuhusu unavyojipresent unaangaliwa sana na wanawake. About kuogopa ndoa, wengi huogopa na wengi hutendwa hata waliochaguliwa wake na wazazi wao. So omba tu Mungu upate mke mwema.

Tafuta girlfriend kwanza au la uwe na ukaribu na wadada (usiwaogope) kama friends. Then get to know them kwa muda; halafu pick mmoja as official girl friend then endelea kufunguka (hapo kwa maisha ya sasa mapenzi huusika, mjuane na mridhiane) then mchumbie. But make sure feelings zake kwake Nazo ni genuine!
 
Back
Top Bottom