Natafuta mke lakini sina kazi!!!!

Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com
huo utani sasa. huna kazi maana yake ni nini?
 
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba tuwasiliane kwa email address ifuatayo mnyella@ovi.com

Mnyella
Tafadhali jieleze vizuri.
Unataka kuoa au kuolewa?

Kutafuta mke, unamaanisha nini?
 
Jamani mwacheni me nilikuwa natafuta kama huyu mnyela nina miaka 27 watoto watatu sijawahi kuolewa kabis ila nina kazi yenye mshahara mzuri na nyumba tuwasiliane please nitakutunza kwa hali zote mke wangu mtarajiwa
 
Midada ya humu ni minunda sana na kila mtu anaetafuta mchumba lazima atoe maelezo wewe ni nani bwana.Sasa, wenzako wengi wamewapata na nakueleza ya kuwa dada aliye siriaz na kuolewa lazima atawasiliana na wewe sio humu ila kwenye mawasiliano uliyotoa. Achana na midada ya humu haina lolote.
 
Hawa ndio wale wa cheche cheche,anapenda vitu vya chee,utaumia wewe..
 
Very interesting. Of all the things ukaona umri na employment status ndio muhimu kushout!

Najua you are not serious, au unafanya utafiti. Nasubiri findings kwa hamu!

You real made my day. Khah!
 
Midada ya humu ni minunda sana na kila mtu anaetafuta mchumba lazima atoe maelezo wewe ni nani bwana.Sasa, wenzako wengi wamewapata na nakueleza ya kuwa dada aliye siriaz na kuolewa lazima atawasiliana na wewe sio humu ila kwenye mawasiliano uliyotoa. Achana na midada ya humu haina lolote.
We tuombe radhi watu tuna heshma zetu sema wanaume wa humu ndo matapeliumewahi kujiuliza kwa nini ID nyingi hapa ni za june mwaka huu na kuendelea?au unafiiri wote wageni?
 
Very interesting. Of all the things ukaona umri na employment status ndio muhimu kushout!

Najua you are not serious, au unafanya utafiti. Nasubiri findings kwa hamu!

You real made my day. Khah!

Binti Kaunga huyu anakufaa au wewe sio miss independent?
 
Last edited by a moderator:
Miss independent asiyependa kuwa depended upon! Mzima wewe? Umepotea?

Sawa binti naona terms and conditions appy,kwa hiyo kama hana kazi hana chake hapa kweli mkono mtupu haulambwi.
Mimi nipo sana tu ila huu mwezi mtukufu nakuwa sana mtazamaji humu JF,watu hawakawii kuitengua swaumu humu.
 
Mie nahitaji demu wa kugonga tu lkn akijituma atapata usajili wa kudumu aliye tiyari atume sms/msg kupitia namba hii 0713 810631
 
Sasa mtaishije ndani ya nyumba?mtakula nini?mtajigharamiaje mahitaji yenu?Tafuta kwanza hata kibarua ndio utafute mke maana mke anataka matunzo atiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom