Natafuta mganga wa kienyeji nguli Bagamoyo

Haha watu mimacho imewatoka mtu apewe tu jina watu na vinotibook viko pembeni ai see cijui m ungu akirudi kama atawakuta watu wake kila mtu Siku h izi ni kwamnganga my muuzavitumbua kapewa kajini kake wanafunzi tujini twao maoficini kah mungu tusaidie habari yetu huku tuliko
Daah! nimecheka sana you made my day dear!
 
Pole Sana Mkuu . Mganga akishakutibu anamtegemea Mungu ndo Amalize Kila kitu, kwa nn wee mwenyewe Tu Usimuombe Mungu Direct na mganga umempa na Hela .Haaa Haaa Ukuryani ss hakuna Waganga Wala Uganga Ni Kughecha Tu.
 
Huyu mleta uzi mwenye ukiangalia anavyo comments unajua kabisaa Made in Mirembe.
Acha ushirikina wewe.
Wengine mna laana,na dawa ya laana ni kurudi ulipokosea na kutubia na kuomba Mungu akupe njia.

Na hao waganga siku hizi akikitibu basi anakupa na Jini.Yaani kila muda linaibuka tatizo jipya na kuienda sehem yoyote halitibiki hadi urudi kwake.Watu kibao wamegeuzwa miradi
 
....wengi tu watachomwa moto hasa businessmens .....tena hujiect ni wacha mungu wakubwa! mungu wetu wahurumie...
 
Haha watu mimacho imewatoka mtu apewe tu jina watu na vinotibook viko pembeni ai see cijui m ungu akirudi kama atawakuta watu wake kila mtu Siku h izi ni kwamnganga my muuzavitumbua kapewa kajini kake wanafunzi tujini twao maoficini kah mungu tusaidie habari yetu huku tuliko
umeyajuaje yote haya kama huna vijini vyako??
 
Back
Top Bottom