Natafuta mfadhili

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Mwenye uwezo na nia,naomba kufadhiliwa kuchapisha kitabu.
Nipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha uandishi kabla ya kuchapa.
Kitabu kinatarajiwa kuwa na kurasa mia moja tu.
Kinahusu maisha ya watumishi na mazingira magumu wanayofanyia kazi.
Jina lake kitaitwa .........
Maelezo zaidi PM.
NB: Unaweza kutangaza biashara zako kupitia kitabu hiki kama utahitaji kufanya hivyo.
Ahsanteni na Mubarikiwe sana.
 
Umeshakutana na wachipishaji wakakupa gharama nzima ya kuchapa hicho kitabu?

Do your home work first, ili estimates ziwe mezani, na kama inawezekana tukuchangie hapa jamvini!
 
Umeshakutana na wachipishaji wakakupa gharama nzima ya kuchapa hicho kitabu?

Do your home work first, ili estimates ziwe mezani, na kama inawezekana tukuchangie hapa jamvini!

sijui kwanini thread nzuri kama hizi zinaishia njiani bila solution
 
Mkuu hebu tuletee mchanganuo wa gharamq hapa ili mtu akitaka kukusaidia ajue anaanzia wapi...ila pia nakushauri pita kwa wachapishaji uwapelekee mswada wako waupitie, wakivutika huwenda wakauchapisha. Muone mzee walter Bgoya pale mkuki na nyota nk
 
Back
Top Bottom