Natafuta mdhamini.

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Natafuta mdhanini atakayenidhami kwenda nchini Afrika ya Kusini kwenda kufundisha KISWAHILI. Baadhi ya taasisi zisizo za kiserikali, zimeanzisha mafunzo ya lugha ya kiswahili huku zikikosa walimu wanaoweza kufundisha. Yeyote mwenye ushauri, maoni au anajua mdhamini naweza nikampata wapi, tafadhali tuwasiliane. Hii itasaidia kukikuza na kukieneza kiswahi barani Afrika na dunia nzima.
 
kila la heri. lakini unataka udhamini katika nini? maana suala hapo ni wewe kuwa na barua toka kwa waajiri hao, uitumie hiyo barua kuomba visa halfu uende ukakieneza kiswahili. mambo mengine ni passport, mhim kuwa nayo kabla ya yote hayo
 
Back
Top Bottom