VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Mkuu jaribu kutembelea taasisi zipo zinazosomesha watu; mfano World Vision..,
Alafu upo kwenye grade gani Secondary; Primary au High School..., sababu ninajua watu wanajisomesha kwa kupiga debe part time au kuuza karanga..;
Vile vile am sure kama ukienda kwenye taasisi za dini unaposali au unaposwali (msikitini au Kanisani) ukaongea vizuri na masheik au mapadre utafanikiwa tu na watakusomesha.., By the way ni kiasi gani unahitaji