natafuta mchumba,,,,,

Hiyo bahati nahisi ipo upande wangu kama vipi nikabidhini hata kwenye mashindano mshindi lazima apatikane me ndo mshindi au my sweet!
 
Duh sasa naono vijana mnachangamkia tenda mnaanza mpaka kuchakachua maono si mchezo,Dada kuwa makini wakati mwngine shetani hujifananisha na malaika wa nuru
 
Hiyo bahati nahisi ipo upande wangu kama vipi nikabidhini hata kwenye mashindano mshindi lazima apatikane me ndo mshindi au my sweet!

tatizo hapa unajua tunakwenda kimaono,kama hujaneshwa maono na bwana hakuna kitu kitatokea.
 
Angalia uwe unafanana na hiyo avatar yako maana ndio inayowachanganya wengi, mi nadhani ungeweka picha kama ya remy ndio ungejua akupendae kwa dhati. Ila wengi humu udenda unawadondoka sababu ya avatar yako kwa kifupi washaichakachua
 
Nikwambie kitu me hata picha sijaangalia ila ndovyo nilivyoota kama kunamrembo atatokea hapa jamvini hapa siwezi kupingana na maono yangu kama vipi mtufungishe ndoa ila sio ya mkeka!
 
Angalia uwe unafanana na hiyo avatar yako maana ndio inayowachanganya wengi, mi nadhani ungeweka picha kama ya remy ndio ungejua akupendae kwa dhati. Ila wengi humu udenda unawadondoka sababu ya avatar yako kwa kifupi washaichakachua

kweli eeh,mchina itabidi ahusike hapa coz cheusi halisi kiwowo chake hadi kwa darubini ndo ukione kwa mbali.
 
Mh, ndugu hilo jini mahaba kemea kabisaa mungu hawezi kukuotesha ndoto au kukupa maono ya hivyo wakati wewe sio singo ni ndoto ya shetani, kesho utaota huyo mchumba mnakula nae kapilau ooh. JESUS IS MY HOME BOY.
 
Mh, ndugu hilo jini mahaba kemea kabisaa mungu hawezi kukuotesha ndoto au kukupa maono ya hivyo wakati wewe sio singo ni ndoto ya shetani, kesho utaota huyo mchumba mnakula nae kapilau mix ooh. JESUS IS MY HOME BOY.
 
huwa najivunia ninapo sikia heshima na upole wakoooooooo,kwa watu wa pembeni............,naupenda sana huu wimbo

Kila palipo na safari baharini kuna Nahodha, Nahodha wangu ni wewe mawimbi kuyakata, chombo chetu kiendeshe tupate fikaa sama, Cheusi....Binty wa Afrika.

R.I.P Niko Zengekala
 
Mh, ndugu hilo jini mahaba kemea kabisaa mungu hawezi kukuotesha ndoto au kukupa maono ya hivyo wakati wewe sio singo ni ndoto ya shetani, kesho utaota huyo mchumba mnakula nae kapilau mix ooh. JESUS IS MY HOME BOY.

nimeipenda hiyo,hata mie sikumoja atakuwa home boy wangu coz alisema atakuja kunichukua.
 
Back
Top Bottom