Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by nkungwe123, Mar 19, 2014.

 1. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani Mimi katika kuoa kabila na ukoo vinahusika sana. Nisaidieni wana jf; ni kabila gani zuri kutafuta Mke? Sifa zao jeee? (Nzuri na mbaya).
   
 2. J

  J.lee JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,605
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 63
  zunguka mikoa yote bara na visiwani kwa uchunguzi zaidi nadhani hyo research itakupa majibu mazuri sana kuliko sisi.
   
 3. SaaMbovu

  SaaMbovu JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2014
  Joined: Oct 8, 2013
  Messages: 2,846
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 63
  Lazima tujue kabila lako kwanza maana kuna kabila nyingine zinaelewana nyingine hazielewani.
  Wewe ni kabila gani?
   
 4. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2014
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 10,743
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 113
  Wazungu mnasaidiana kulea na kupiga!
   
 5. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2014
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,367
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Oa mtu ana jielewa,aliye na muono wa mbele na zaidi ya yote aliye na hofu ya Mungu.
  Sijui ni kabila gani,labda tu nikushauri uangalie katika kabila la Yuda.
   
 6. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi muha wa kigoma
   
 7. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anaweza kua anajielewa na ana hofu ya Mungu ila ukoo wao wana kifafa. Inakuaje hapo?
   
 8. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  J Lee binadamu tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana. Let us share knowledge
   
 9. utafiti

  utafiti JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2014
  Joined: Jul 18, 2013
  Messages: 12,851
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 0
  Mzazi wako wa kike kama unaweza kumshirikisha anaweza kujua mke bora kwako, kabila, mkoa sio situ chakuangalia sana
   
 10. H

  Howt Lady JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2014
  Joined: Jul 15, 2013
  Messages: 1,504
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 38
  Hmm tafuta mha mwenzio mtaendana
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2014
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,367
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Aisee kazi unayo.
  Muombe Mungu akupe udongo umfinyange mke wako mwenyewe.
   
 12. SaaMbovu

  SaaMbovu JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2014
  Joined: Oct 8, 2013
  Messages: 2,846
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 63
  Yamogabo! Namakii..... oa muha mwenzio mbona wengi hawana matatizo. Sema wanachopenda ni watoto wengi.
   
 13. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa wazo. Hawa nao usafi ni shida sana kwao. Huchelew kukuta hapa anapika na pale mtoto alijiaaidia na hajatoa uchafu.....
   
 14. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah.... ningepata uwezo huo hakika nisingeandika kitu hiki hapa jamvini
   
 15. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni mpoleeee..... hafu usafi shida sana kwa wenzetu hao.
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2014
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,367
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Kwahiyo kwako kifafa ni ugonjwa utakao kufanya usimuoe mtu?
   
 17. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ambae anafaa na yuko jamvini tuwasiliane
   
 18. nkungwe123

  nkungwe123 JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kafafa si mchezo kaka....
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Mar 19, 2014
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,109
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 63
  Kabila la wachagga ukoo wa shirima...
   
 20. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2014
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,567
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 63
  muha? hmmm!

  ndo kule kulikoungua shoka mpini ukabaki ama? .. joke meen!

  mkuu in no time tutakuwepo huko kununua mawese kulaleki!
   

Share This Page