Natafuta mchumba

Krispin wumenichekesha sana na tenksi u got it, huyu ndiye yule mwathirika wa ndoa kutoka pemba ambaye hatujui kama na she/he wa she? I like ur memory.

Pia kumbuka hii thread imekaa kisiasa zaidi tusepe. Na hii picha naifahamu sio yeye kama anataka abishe nimwaibishe

Picha ya huyu msichana inanichanganya kweli, doooo
 
Natafuta rafiki wakike (Girl friend)

Duh! Girfgriend naye anatafutwa JF? Uko Kilosa nini binamu? Maana mijini siku hizi ukitaka wa kuita ''girlfriend'' wapo wamejaa tele! Labda kama ungekuwa unatafuta mke ningekuelewa.....Girlfriends are just a text message away!
 
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
Kiukweli wachumba waaminifu wako wengi tu sio lazima aliyekama obama
 
uchapakazi wa kimei???? elewa ndie alieidhinisha upitishaji wa hela za EPA CRDB amabazo kwa peocedure za hela kwa wanaofahamu ( am not specialist) wanadai ni kinyume na utaratibu,

Kimei hawezikuzuia watu kuweka hela kwenye account zao walizofunguakwa kufuata taratibu...pesa yes ni za uwizi but kimei anahusikaje na kupitisha hela kwenye account za wateja?hebu tuwe objective bana
 
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote
wewe mwenyewe ukoje ukoje uko tayari experience unayo........au unababaisha?
 
natafuta mchumba jamani awe mwaminifu kama obama,,,awe mvumilivu wa maneno kama lyumba...mchapa kazi kama kimei asiwe anasafir safiri ovyo kama rais kikwete...ajiandae kwalolote

si mnajua kimei mtu wa totoz? Huyu ni mmoia miongoni mwao, kaamua kututishia nyau, humpati mtu.
 
Jamani em tuew serious na hili jambo yani watu iko weka jokes tuuuu...mpaka inaboa...inatakiwa tuwe serios na hii blog ii watu tupate wenzi tunaowataka sio kutoa sifa zisizo na maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom