Natafuta mchumba

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
Jamani ndugu yenu ninatafuta mchumba. Naona wakati unapita na maisha yanakuenda. Anyone serious tuwasiliane privately.
 
Ngida tatizo jina lako halionyeshi wewe ni jinsia gani.
Tunaweza kukusaidia lakini hatujui wewe ni she/he na unatafuta wa jinsia gani?
 
Ngida tatizo jina lako halionyeshi wewe ni jinsia gani.
Tunaweza kukusaidia lakini hatujui wewe ni she/he na unatafuta wa jinsia gani?

Mkuu mada kama hizi huchezi mbali. Mi naona atakuwa demu. Dume likifanya hivi ujue domo zege.
 
Ngida nia yako ni kupata mwenzi wa namna gani? Wewe una qualities gani za kuvutia? Hebu tupe details zaidi.
 
Mkuu mada kama hizi huchezi mbali. Mi naona atakuwa demu. Dume likifanya hivi ujue domo zege.

Mkuu demu hawezi tafuta mchumba kwa maana kila wiki haishi hajatongozwa mara 5 wengine hata mara 10 hawa dada zetu wanapata tabu sana kufanya selection ni nani amkubali nani ampige kibuti.
 
Mkuu demu hawezi tafuta mchumba kwa maana kila wiki haishi hajatongozwa mara 5 wengine hata mara 10 hawa dada zetu wanapata tabu sana kufanya selection ni nani amkubali nani ampige kibuti.

Inategemea mkuu. Wengine ni noma. Wanapitisha mwezi hawajakonyezwa.
 
Inategemea mkuu. Wengine ni noma. Wanapitisha mwezi hawajakonyezwa.

Duh huyo basi atakuwa ana gundu la milele kwa hiyo kama huyo hajapata mtu hata wa kumsifia inatokea mzee una rusha ndoano si fasta unachukua kitu kilaini?
 
Duh huyo basi atakuwa ana gundu la milele kwa hiyo kama huyo hajapata mtu hata wa kumsifia inatokea mzee una rusha ndoano si fasta unachukua kitu kilaini?

Huyo anatufaa sisi ma NATO.
 
Huyo anatufaa sisi ma NATO.

Duh sasa unaweza ukampata lakini ukaendelea kuwa NATO na ukashindwa kufaidi matunda ya uhuru ndo hapo sasa miaka inaenda wajanja wanakuja wanaweka ndani wewe bado unasubili.
 
Wengine bado tuko single,sasa inabidi ujieleze kama wewe ni wa jinsia ya kiume au kike?
 
fidel na chrispini ni noma. mmemfanya jamaa ashindwe kujieleza kama ni she au he. maana mumesema kama he domo zege, kama she pia basi anagundu. sasa unakimbiza bahati kwani njemba zilikuwa zinasubili kwa hamu aseme yeye ni she. hivi unajua kuna domo zege na mwingine anagundu hatokewi uoni hii ndio chance yao kukutana. but it is nice brainstorming
 
fidel na chrispini ni noma. mmemfanya jamaa ashindwe kujieleza kama ni she au he. maana mumesema kama he domo zege, kama she pia basi anagundu.

Hahahaha sure mkuu tunashangaa kwanini huyu mtu kaingia mitini na hasemi anataka mchumba wa aina gani na kwa ajili ya nn? Maana kama wa kuishi nae wapo kibao mitaani anako toka na anako ishi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom