Natafuta mchumba

mwanaume,mwanamke?tuma vocha upigiwe....:redface::redface::flypig:
 
Sa iyo vocha itumwe wapi? Angalia usikuje ukasema utumiwe na charge coz Monopoly wa umeme nao ni wa kulenga uku kwe2
 
Jamani unajua nahisi hili jukwaa liliwekwa kwa maana serious lakini naona kama siku hizi limegeuzwa chit chat! Uhsauri wangu ni kwamba for people who are serious ndio wapost hapa na kwa wale walioko serious ndio warespond pia. Mi naona watu wanakuwa serious wanapost mahitaji yao lakini wanavunjwa nguvu na jokers waliovamia humu. Nafikiri kuna majukwaa ya jokes nendeni huko mkajoke na hapa waacheni wale wenye nia za dhati
 
Alietuma hii post nae hayupo serious hajatoa hata jinsia yake ni ipi
 
Natafuta mchumba namba zangu za sim ni 0765672824

pole sana nakupa pole kwa yatakayo kufika maana hum kuna watu ambao kazi yao ni usumbufu tu. na jiandae kwa maswali ya kebehi. ila kama unania na unajuwa unachokitaka naamini utapata tena mda sii mrefu. nakutakia kila la kheri umpate mlengwa.
 
Jamani unajua nahisi hili jukwaa liliwekwa kwa maana serious lakini naona kama siku hizi limegeuzwa chit chat! Uhsauri wangu ni kwamba for people who are serious ndio wapost hapa na kwa wale walioko serious ndio warespond pia. Mi naona watu wanakuwa serious wanapost mahitaji yao lakini wanavunjwa nguvu na jokers waliovamia humu. Nafikiri kuna majukwaa ya jokes nendeni huko mkajoke na hapa waacheni wale wenye nia za dhati
nikweli kabisa kuna watu hawajaelewa lengo hasa.
 
Kwa mtazamo wa jina lake nafikiri ni mwanamke kwasababu majina hayo yapo mawili, Badra kwa wanawake na Badru kwa wanaume

Hata mie nimeyaona hayo majina lakini kuweka jinsia ni muhimu maana kuna watu wanaitwa Furaha, Neema ni wanaume pia japo si wengi
 
Kweli kabisa mkuu labda mtoa post pia ungetoa jinsia yako...Na kwa wengine perhaps mngetoa maelezo yanayojitosheleza mnapopost ili kupunguza maswali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom