Natafuta mchumba

mbelege

Member
May 9, 2012
14
0
Mimi ni mwaanaume nina miaka 26, natafuta mschana ambaye naweza kuanza nae maisha, tabia njema ndio kigezo changu kikubwa, awe mwenye mapenzi ya kweli. hapokuwa nimetendwa mara kadhaa lakin sina namna because natakiwa kuwa na familia natakiwa kuwajibika kama baba wa familia. so kama kuna women mwenye tatizo kama langu lets try to solve it.
 
Mi sina tatizo kama lako ila niko interested
sasa nafanyaje? mbona hujasema way forward?
 
yupo bibi angu ana tabia nzuri sana aliachwa na marehemu babu nae anahitaji wa kumliwaza.. upo ready?.
 
Ushauri wangu achana na mademu best upige Dili zako za hela,
Tulioko kwenye mahusiano tunajuta kwa kweli.

Ukitaka kufuta hayo mawazo yako ya kuoa jaribu kusikiliza wimbo wa MWANA-FA UTAOA LINI ndipo utajua kua bora ubaki ulipo Mdogo wangu!!!
 
Hey! Bro, u are 2 young, naona unatafuta frustrations tu hapa, tena humu JF ndio umepotea, the so called JF ladies, most of the are frustrated, rude and disparate na wengi wao ni wazee. U can not train an old dog new tricks, wote wameshindikana. Hit and run is the best solution, but plz condomize them. Najua watanijia mbogo............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom