Natafuta mchumba

aaag,............... mi nilidhani demu!!...............siku hizi mademu ndo wanatafuta wachumba bana, ebo.......................
 
mmmh, nimekumbuka moja ... jifanye umekuja likizo mara moja toka ughaibuni, unataka uoe fasta na kuondoka naye teh teh teh...
 
Kazi kweli kweli,yan chuo kizima hujaona anaekufaa ht ile chakula yako ya sasa nae umeona hakufai.Nadhan kutongoza ni kipaji,anyway nina mdogo wangu ila ndo yuko std 7 sijui utakuwa na subira ya kumsubiri.
 
Ebo!Mwambie aende buguruni,pale hata aja ya kubwabwaja maneno,yeye aandae neno 1 tuu"twende zetu"
 
Sokoine unasoma au unafanyishwa kazi, kama bado wasoma, tafuta ajira halafu nitafute tuyamalize.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom