Natafuta mchumba

tupe cv yako ili tukupe advanced aproach kijana.... simply i min ur description
 
awe na elimu ya dini yeyote awe na umri wowote asizidi miaka 40 awe tayari kuishi popote


Mi ndio bado niko chuoni najifunza dini hiyo hiyo ya kwako na kwenye umri pandisha kidogo kama kumi moja hivi, nitume barua ya maombi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom