Natafuta mchumba

Jul 13, 2011
64
8
Nikijana mwenye umri wa miaka 24 nimfanyabiashara soko kuu la mwanza town,natafuta mchumba ambaya maskani yao awe ni wa mwanza ili nisihangaike kuonana nae na awe na umri miaka 2o-21 awe mweupe na sio wamkologo asiwe mnene wala mwenye matiti makubwa awe naelimu kuanzia form 4 na awe mwenye maadili ya kiislam. kwamaongezi zaid find me on fcbook Galinchaz@hotmail.com au Kwa jina la NASRI ATHUMANI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom