Natafuta mchumba!

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Naitw dick-masomoni dodoma.Natafuta msichana atakayekuwa tayari kwa uchumba!awe na tabia njema na mcha Mungu!pia awe na sifa zifuatazo
1.umri 22-26
2.awe na elimu f4 na
kuendelea
3.mkristo
4.majikunde/mweupe asiwe mnene sn
contact:tuma sms kwenye namba 0783109344.tafadhali ucpige.wana jf niko very serious p/se.
 
ungekuwa sirias usingeiweka jukwaa la utani>ipeleke love connect
 
Kwanini atume sms na asipige? unaogopa sauti ya kike ama hauko serious?
 
Naitw dick-masomoni dodoma.Natafuta msichana atakayekuwa tayari kwa uchumba!awe na tabia njema na mcha Mungu!pia awe na sifa zifuatazo
1.umri 22-26
2.awe na elimu f4 na
kuendelea
3.mkristo
4.majikunde/mweupe asiwe mnene sn
contact:tuma sms kwenye namba 0783109344.tafadhali ucpige.wana jf niko very serious p/se.
Acha UFALA WEWE,kwani huko chuoni hawapo mpaka uje JF?
 
Piga kwanza book kijana!!
Mapenzi baadae!!
Boom yenyewe ya magumashi a.k.a kwa manati, mpaka maandamano!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom