Natafuta mchumba

ISHERUHINDA

New Member
May 5, 2011
3
0
Sifa za mchumba:
1,Awe na Elimu ya kuanzia Chuo na kuendelea
2,Awe maji ya kunde(kwa rangi)
3, Awe mrefu kuanzia ft 4-5
4,Kabira lolote
5,Awe tayari kunipenda jinsi nilivyo
6.Dini (Muumini wa dhehebu la kikristu)
7,Awe mpenda watu
HIZO NDIZO SIFA KUU.

ATAYERIDHIA ANITAFUTE KWA +255759 065 348
 
Halafu wewe kaunganishe thread yako sio unaweka tofauti tofauti hatuelewi sifa unaweka huku maelezo thread nyingine......

Nimekusamehe baada ya kusoma hapa chini
Join Date : 5th May 2011
Posts : 3
Thanks 0Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom