Natafuta mchumba

Onambali

Member
Mar 11, 2011
67
10
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25.

Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli,

Onambali
 
Haya sasa, wabantu soko lenu kwishney.
Sahv tunakimbilia kwa wahindi na waarabu.
Kuna wahindi fulani nimewaacha jukwaa la wakubwa, wasubirie kidogo.
 
Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi?
Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha
 
Nasubiri majaliwa, sitokata tamaa, mwenzenu nahangaika kweli namtafuta mwenza, nimechoshwa na ukapera
 
Onambali,
ONGEZA JUUDI KATIKAMAOMBI NA SARA ZAKO KWA MUNGU.....HAPO UTAMPATA TU.
 
Mmmh!! Haya bwana Onambali kila la heri, ukimpata huyo mchumba usisite kuja kutueleza!
 
onambali,
ongeza juudi katikamaombi na sara zako kwa mungu.....hapo utampata tu.

mke mwema natoka kwa mungu. Sasa bwana onambali huyo mungu akilkuletea mbantu utakubali....????
All ze besti
 
mja,

du! hapo pagumu panataka ufunuo zaidi. Kwa sasa naomba anipatie mhindi au mwarabu, moyo wangu unanielekeza huko
 
All the best, angalia kuna warabu na wahindi wa Tunduma! sijui nao wananafasi?
 
nenda mtaa wa uhindini posta wamejaa tele!! humu tumejazana wabantu tupu!!!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom