Natafuta mchumba

Habari wadau,

Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).

ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
Umepoteza dira mke mwema hutoka kwa Bwana, maanake Fanya maombi ya kufunga, ushaur wangu hiyo age hutampata mchumba kitabia bali mpenzi
 
mkuu mke mwema hashushwi kutoka mbinguni bali Mwenyezi Mungu hukupatia mke mwema kutoka hapahapa duniani haijalishi atatokea wapi,kuhusu age mbona iko poa kabisa?au ulitaka nianze kutafuta nikiwa tumboni nini?
 
acheni maskhara, ina maana huyu jamaa kachangiwa hili tangazo na kijiji ? tafadhalini heshimuni fikra za mtu. ushauri kwa jamaa, endelea kutafuta mchumba humu humu watanasa tu !!
watu kama nyinyi mnahitajika sana humu,ubarikiwe
 
Habari wadau,

Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).

ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
Dogo tafuta pesa kwanza mapenzi hayatafutwi watakuja tu.
 
umenisikitisha sana muadventista mwenzangu yaani umekosa hata muimba kwaya hapo kanisani hadi uje huku TIMNA
 
Habari wadau,

Ni MWANAUME mwenye 25yrs, mrefu wa wastani, ni mfanyabishara wa kawaida. Natafuta mchumba wa KIKE mwenye kuanzia 17yrs-20yrs, AWE MWADVENTISTA MSABATO au aliye TAYARI kuwa MWADVENTISTA MSABATO WA UKWELI. Kama upo tayari nicheki hapa: bahatij327@gmail.com (NIPO SERIOUS WALA SITANII KABISA).

ANGALIZO: KAMA HAIKUHUSU POTEZEA USICHAFUE HEWA HAPA.
Miaka 17 ni mtoto utafungwa.
Anza kuwazungukia makanisa ya kisabato kwanza
 
Unampango wa kuoa wanafunzi au? We bado nadhani kuoa ila unalazimisha. Najua kwa selection hiyo hata wazazi wako watafanya hivi ????.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom