Natafuta mchumba

Vizur sana umeliweka mapema kwanza atakaeliona atakua ana shughuli ya kufanya ndo mana kaamka mapema.
 
very short details/ add more..!/
una mtoto?
unajishuhulisha na nini?
Ungelimtaraji mtu wa aina gani?
so so so....
A City amna kupembelezaa... kama ujamsoma anakwambia PITA IVI...
Thats why she is 35 and still single... Nashukuru aliweweka IFM posta maana madem wa chuga wakienda wanarudigi na swaga za Daaaaar!
 
mimi ni msichana wamiaka 32 mkaziwa a rush.natafuta mtu ambae yuko teyari kuingia kwenye seriously relationship now I'm in Dar for a month kama unaitaji njoo inbox

About

amber39

Birthday:
Jan 28, 1983 (Age: 33)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom