Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

1. Hongera kwa kuwa mrembo, LOVE YUUUU mrembo
2. Hili la kusoma na degree nina mashaka nalo kwa attitude yako na hata namna yako ya uandishi
3. Sijaelewa maisha yako, mahitaji yako na malengo yako yanahusianaje na mwanaume Mkristo mwenye adabu zake.

Binti mrembo, msomi na mkristo kwa umri huo saa hizi ungekuwa unagombaniwa sio kujichapia promo. We njoo nikuoe mimi mzee wa mizoga nisiejali hata waliochakazwa na waume za watu. Ni PM tukutane Manzese
 
Nan atakuwa tayar kuoa Malaya? Yan ww Na degree yako unattangazia umalaya? Hyo degree Ni ya BRN bila shaka..!!
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
nenda kamtafte SOMALIA!!!
 
Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
good trial! linguistically
 
Iam truely sweet and i have a good heart i dont want to date one's husband i wish to have my own which is why i have posted this, but people seem to take it as a joke it pisses me off
can't try to think that some may be trying to see if u r a so called wf material? watch out your tongue if u r really serious with your case! ok???
 
aH HAHAHAHAHA kaka mtoto anataka anaejua kupiga pamba,
Hiyo tai ukija nayo mjini utavulia ubungo,
Mana ni style ya mavazi ya watu wa namanyele,

Kimjini mjini tunavaa tai kama za guardiola au mourinho, zidane pia, tai inakuwa kama kamba
Ila wewe jamani
 
ULINISOMESHA WEWE?
ona sasa unavyo jiharibia sokon. ujui kuwa upo mnadani??? tulia ivoivo, ule za uso. maana wengne wanakupima kauli zako ili wachukue hatua. ila kama ulimi ndio huu, hakika menopause itakufikia haujafikia malengo. i.e; utaishia kuliwa na kutemwa tu! TRUST ME!!!

To declare my interest, am a man!
 
Sorry for the jokes from people , you need to know that people are not the same, they think, they behave and act differently. Try to cope with them. I take this opportunity to say sorry for having sexual relationship with some one's husband, and congulatulation for the decision you have made to take, to have your own husband rather than sharing the same man. For more conduct me through email: devis.kilundo@gmail.com. thanks.
 
Mimi ni msichana mrembo umri wa miaka 25 na nimesoma nina degree naitaj kijana msafi handsome awe anafanya kazi umri kuanzia miaka 30-38 mkristo.....pia awe anajua kuvaana asiye mbaili anijali nitamjali na kumpenda kwa dhati...alie serious Ani PM tuwasiliane....PLEASE AWE ANAFANYA KAZI NA AWE ROMATIC
Soon utapata hitaji la moyo wako mamii .... wala usiwe na shaka ..... jamani wenye vigezo hebu nenden mwaitwa
 
Similar Discussions

15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom