Natafuta Mchumba wa Kuoa

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Mimi naitwa Power G. Nina umri wa miaka 32, urefu futi 8 na umbo langu kama ninavyoonekana kwenye picha yangu hapo juu. Nina elimu ya msingi na kazi yangu ni mnyanyua vitu vizito. Natafuta binti mwenye umri kuanzia miaka 25 hadi 30 wa kabila lolote na dini yoyote na awe amesoma kunishinda mimi ili anisaidie kuifahamu dunia. Mchumba asiliogope umbile langu, kwani ni kifua tu kipana lakini "vifaa" vingine vyote ni saizi ya kawaida. Aliye tayari naomba anipm
 
huna mvuto kwa kweli....
huo mwili sio wa mwanamke...
huo una kazi zake.....
 
huna mvuto kwa kweli....
huo mwili sio wa mwanamke...
huo una kazi zake.....
Naomba unipe ushauri wa mbinu za kufanya ili walao nipate mvuto na nipate kuwa na wangu wa maishani. Ila kwa kuongezea, vijisenti ninavyo vya kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom