natafuta mchumba wa kike wa namna hii!

funguo

Member
Nov 22, 2011
24
36
Hello JF
Najitokeza kwa mara ya kwanza kabisa hapa jamvini kuwasilisha tatizo au hitaji langu la msingi sana.

mimi ni kijana wa makamo.najitokeza kutamka wazi hitaji langu la kumpata mwanamke ambaye atakua tayari kujenga familia na mimi...mimi ni mwathirika wa virusi vya ukimwi..ila bado sijaanza dawa kwani afya ni njema kabisa..nisingependa kuongelea sana upande huo wa niliupataje na naishije...just know am happy with my life!!

Nilikua na msichana lakini tulitengana kwa tabia zake zisizoridhisha!Nilipata mwingine ila bada ya kujigundua nilishindwa kumweleza ukweli wa afya yangu nikamwacha aende zake!
nafahamu kuna uwezekano wa mwanamke HIV negative kuzaa na mwanamume HIV positiv na akazaliwa mtoto healthier.Kama atakua HIV Positive woman is just fine too!!.
so any woman who is SERIOUS with this damn life naomba aniPM....naomba yule tu ambae yupo siriaz aniPM.
Nitagaramia garama zote za kuanzia kupatikana mtoto hadi malezi...naamini katika Mungu!Sikupendakuwa ktk hali hii naomba kutokunyanyapaliwa!
 
Back
Top Bottom