Natafuta mchumba wa kike!(serious enough)

Oct 3, 2012
7
0
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
Umri: asizidi miaka 24
kabila:mkurya/mjaluo
dini: mkiristo
kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: yoyote.

Mimi nina sifa hizi:
jina: Eliya
eliya@rocketmail.com.
Umri: miaka 27
kabila:mkurya
dini: mkiristo
elimu:
chuo kikuu
kazi: mwanasheria wa halmashauri.
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: mweusi.

TAFADHALI dada aliye TAYARi tuwasiliane kupitia eliya@rocketmail.com. then tutazidi wasiliana kwa simu.
 
Ngoja nibadili kabila na umri, ili nifit hii offer.
Tohanchane Mura!
 
Yaani karne ya 21 bado watu wanaongelea ukabila! Mke na kabila wapi na wapi? Hata kama ni haki yako kuchagua umtakaye, vitu kama hivi si vya kuanika. Anyway endelea huenda ukampata huyo kabila lako. Ila siku akikugeuzia kibao usije jamvini na michozi yako.
 
Hivi kwani mtu akichagua kuoa au kuolewa n kabila lake ni dhambi?Mbona Waisrael walikuwa wanaoana wenyewe?Kipendacho mtu roho kula baba
 
Yaani karne ya 21 bado watu wanaongelea ukabila! Mke na kabila wapi na wapi? Hata kama ni haki yako kuchagua umtakaye, vitu kama hivi si vya kuanika. Anyway endelea huenda ukampata huyo kabila lako. Ila siku akikugeuzia kibao usije jamvini na michozi yako.
Pengine anataka kupata mtu wa kutoana naye manundu vizuri! Si unajua ukisikia Kurya or Jita tribe husband, qualification kubwa waliyo nayo, ni ya kuwadunda wake zao! Sasa angalau akipata tribemate, huyo mke, hatastuka sana atakapokuwa anafanywa punching box!!
 
Nimependa ulivyoweka CV
haya bana mi sina vyote hivyo
 
Ni kweli natafuta mchumba wa kike. awe na sifa hizi:
Umri: asizidi miaka 24
kabila:mkurya/mjaluo
dini: mkiristo
kazi: akiwa mwalimu itapendeza sana(mwalimu shule ya msingi/sekondari)
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: yoyote.

Mimi nina sifa hizi:
jina: Eliya
eliya@rocketmail.com.
Umri: miaka 27
kabila:mkurya
dini: mkiristo
elimu:
chuo kikuu
kazi: mwanasheria wa halmashauri.
appearance: mrefu wastani, mnene wastani,
Rangi: mweusi.

TAFADHALI dada aliye TAYARi tuwasiliane kupitia eliya@rocketmail.com. then tutazidi wasiliana kwa simu.

Nimefurahi kuona hii post. All the best, wakurya na wajaluo walimu wapo wengi tu humu JF. All the best
 
Ngoja nibadili kabila na umri, ili nifit hii offer.
Tohanchane Mura!
Kongosho si kabila na umri kama una elimu ya chuo kikuu itabidi ufiche vyeti maana mchumba anaetakiwa ni mwalimu wa shule ya msingi/sekondari. Lakini unaweza usivifiche kama vyeti ni vya ualimu.
 
Last edited by a moderator:
Opps, nilipitiwa na hiyo ya elimu

Naona hii iffer imenikataa kabisa

Kongosho si kabila na umri kama una elimu ya chuo kikuu itabidi ufiche vyeti maana mchumba anaetakiwa ni mwalimu wa shule ya msingi/sekondari. Lakini unaweza usivifiche kama vyeti ni vya ualimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom