Natafuta Mchumba wa Kike ili nioe

Nelembe

Member
Jun 18, 2012
7
1
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
  1. Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
  2. Awe tayari kuzaa watoto wasiozidi wawili (02).
  3. Awe Mfanyakazi aliyeajiliwa.
  4. Awe Mkatoriki au kama yupo dhehbu lingine, awe tayari kubadili.
  5. Anitumie mawasilianao yake haraka iwezekanavyo.
 
Zaidi ya kuachwa na umri, sifa zako kaka zaidi. Ili upunguze traffic jam kwenye inbox yako
 
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
  1. Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
  2. Awe tayari kuzaa watoto wasiozidi wawili (02).
  3. Awe Mfanyakazi aliyeajiliwa.
  4. Awe Mkatoriki au kama yupo dhehbu lingine, awe tayari kubadili.
  5. Anitumie mawasilianao yake haraka iwezekanavyo.
mii sijafikia huo umri afu mii nahitajii kuzaa watoto 5 kwasababu daktari aliniambia nina mayai mengi so
 
Wewe una watoto wangapi? Alikuacha au wewe ndio ulimuacha baada ya kuwa bize na huo ulokole? Hebu tiririka kwanza kabla sija ku PM coz nahisi nina vigezo kuanzia Umri mpaka dhehebu...
 
kaka mbona vigezo vingi sana punguza basi
1.umri wangu ni 27
2.nipo tayari kuzaa hata mtoto 1
3.nimfanyakazi nimeajiriwa
4.mkatoriki
sasa sijui nitafit kwenye hizoprofile yako
 
yaani umektaa kufuata dhehebu la mkeo,ila unataka mtu mwenye dhehebu tofauti na wewe akufuate....mnh
 
Sasa utaoa vipi na wewe una ndoa ya kanisani au utaoa kimila/serikali?
 
mh, we mbinafsi unapenda amri zako zifuatwe. me nina vigezo vyote ila umri tu. nipo under 30
 
Mimi Mwanamume mwenye miaka 40, nimeachwa na Mke wangu kwa sababu nimekata kuokoka kwa Mwingira. Natafuta mwanamuke mwenye sifa zifuatazo:
  1. Awe na Umri kati ya miaka 30 na 35.
  2. Awe tayari kuzaa watoto wasiozidi wawili (02).
  3. Awe Mfanyakazi aliyeajiliwa.
  4. Awe Mkatoriki au kama yupo dhehbu lingine, awe tayari kubadili.
  5. Anitumie mawasilianao yake haraka iwezekanavyo.

Kumbe Biblia ya kikatoriki inaruhusu wake wawili? Dah nilikuwa sijui kama inatofauti ya yangu.....,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom