Natafuta mchumba tafathali soma hii post

Natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mume wangu
sifa zangu
mimi ni msichana, nina miaka 27 nina shahada ya pili ya sheria (masters) sm 180 urefu, 70KG UZITO , MWEUPE NATURAL SIO MKOROGO.

Na hitaji mwaume ( mchumba) SIFA UMRI MIAKA 28-35 MREFU, MNENE WA WASTAN, ASIWE NA KITAMBI, ELIMU ANGALAU DASASA LA SABA ILA AWE ANAJUA MAHESABU ILI AWEZE KUSIMAMIA MIRAD YE2 ANBAYO NIMESHAIANZISHA KWANI KILA NILICHONACHO SASA NI CHAKWE2 MIMI NA yeye. AMBAO MPO SERIOUS MNI PM. Sibagui, kabla, rang wala dini.

Nitafute kwa 0758 36 21 20. Lakini tutakuwa katikamahusiano kwa mwaka mzima. Hakuna kufunga ndoa ya kidini...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom