natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 28-38

rutta12

Member
Feb 8, 2011
19
0
mi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nasoma chuo kikuu dar es salaam....nina futi 6 urefu, dark brown in colour...............


for more details about me, contact using the below email address
rutta89@gmail.com
 
Hivi magazeti ya siku hizi hayana zile kona za kutafuta mchumba au marafiki wa kalamu.. Chuo kwenyewe wachumba kibao umeshindwa kusema nao au inakuwaje??
 
ndugu yangu hapa unapoteza muda.......90% ya wanaJF ni vivuli.....jiulize sifa za mke umtakaye....mchamungu nenda kanisani/msikitini.......msomi nenda vyuoni....nk
 
Mi huwa nashangaa sana watu wanaotafuta wachumba kwa dizaini hiyo, kwenye magazeti n.k. Ninavyoamini mimi mchumba humpata kwa kumuona mwenyewe, mnakuwa marafiki then wapenzi..hapo sasa ndo utahisi kuwa huyu anafaa kuwa mke au mume. Halafu..huko chuo kuna wasichana wa kila aina, yaani umekosa kweli huko? na wa mitaani je? you are not serious.
Hapa JF wadada wote wako engaged!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom