Natafuta mchumba(Mwanaume)

kama umeshindwa kumpata miongoni mwa unaowaona, unatarajia utampata katika hawa kwenye maandishi? Nako choice yako itakuwa kama huko kitaa. Nakuhakikishia hatimaye utakuja olewa na mwanaume aliyekupenda, nawe utakuwa umemkubali, sio kumpenda, otherwise chagua wewe unayempenda, sio usakizie watu wakutokee, "Utamkubali mwanaume atakayekusumbua sumbua saaaana ili utoe nuksi ya kutokufunga ndoa, then utajakiona kifaa utakachokifia kiukweli!!!!
Dunia utandawazi now dayz, hata hapa anaweza mpata wake wa moyoni , ingia http://www.match.com/home/mymatch.aspx uone watu wanavyopata wachumba tena wanaoana...
 
Hi wana jf,
Mi ni mdada mwenye umri wa miaka 24, dini yangu ni muislam,nimeajiliwa ktk taasisi ya kiserikali,muonekano wangu sio mfupi wala mrefu, mzuri kiasi na rangi yang si mweupe wala mweusi ni natural situmii mkorogogo na napenda maendeleo na napenda kujituma pia.napenda kuishi maisha ya amani furaha na upendo
Mwanaume nimtafue,
Dini yake awe muislam,umri kuanzia miaka 26-32,Awe mfanyakazi au mfanya biashara,awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana,awe anajua maisha nini, mpenda maendeleo, awe na upendo wadhati.jwa yeyote mwenye nia njema tuwasiliane kupitia email byera43@yahoo.com.

Na mimi ni kijana mwenzio (27 yrs), na bado sijapata mwenza wangu na nahitaji kumpata kwa sasa, ila namisi kigezo kimoja tu nacho ni huyu jamaa anaeitwa ajira huyu. Japokuwa kwa sasa najiendeleza kielimu zaidi, ila nipo pia kwenye mchakato wa kutafuta ajira. Ningekutafuta bibie ila kwakuwa ajira kwangu bado ni kikwazo basi ngoja nisizibe rizki kwa wengine. Inshallah kuwa na subra utampata tu aliekamilisha sifa zote ulizotaja.
 
Una elimu gani wewe? Mshara wako kwa mwezi ni sh ngapi? Unafanya offisi gani ya serikali?
 
Naitwa Jonathan Lucas Kamwavahs nimezaliwa 25.2.1987 umri26years,elimu chuo kikuu,nimejiajili,mrefu lakini si sana,si mweusi wala mweupe,ukitaka kuniona ingia facebook andika Jonathan Kamwavahs utaniona,kabila mnyamwezi simu no 0719450426,lakini ni mkristo tukikubaliana hili si tatizo.
 
Naitwa Jonathan Lucas Kamwavahs nimezaliwa 25.2.1987 umri26years,elimu chuo kikuu,nimejiajili,mrefu lakini si sana,si mweusi wala mweupe,ukitaka kuniona ingia facebook andika Jonathan Kamwavahs utaniona,kabila mnyamwezi simu no 0719450426,lakini ni mkristo tukikubaliana hili si tatizo.

Mzigo mzito mpe mnyamwezi.Kula kiporo hicho mdogo wangu,kabla hakijachacha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom