Natafuta Mchumba/Mume.

Haya bwana, kama utafikisha miaka 35 na haujapata, tafuta vigezo vipya maana inaonekana kigezo kikubwa ni pesa hapo.
 
Pamela, pamoja na vigezo vyote ulivyoviandika vyaweza kupatikana lakini kuwa makini ila ninachokushauri pamoja na vigezo vyanje angalia sana sana vigezo vya ndani,maana vilivyo nje mara nyingi vinaweza kubadilika leo anaweza akawa havuti sigara kesho akaanza kuvuta,Mungu akutagulie tena akupe haja ya moyo wako.
 
Pamela, sifa zote ninazo na ni mfanya biashara ambaye mshiko kwangu si tatizo, ila ka-elimu kangu kana utata kidogo. Sijui niku-PM utanifikiria?
 
All the best Pam, naamin Mungu atakuonyesha alie bora. Usijali comment za watu kila mtu na vile Mungu alivyomuonyesha njia ya kupata mwenza. Endelea kuomba bila kuchoka. Wote tuliomba sana sana na kufunga mpaka tukapata wenza
 
kila la heri dada yangu.... naamini unaweza kumpata aliewako ila wakati mwingine uwe dynamic kwenye vigezo vyako ulivyoweka coz huwezi kujua mtu mzuri anawea kuwayupi.. sometimes anaweza kuwa hana sifa ulizoweka but still good for u
Thanks
 
Mh! Kila la heri mdogo wangu but remember to get hints to identify who is serious to the issue on the ground. Maana hapa JF wamejaa vitoto vya 20yrs, isije wakakuzingua. But any way utafanikiwa tu. Nilikuwa nakushauri usichanganyikiwe ukajiona umri wako ni mkubwa sana hutopata the best, we bado kabinti kadogo tu ulikuwa bado unasoma its why huna mtu wala mtoto. Usijisikie vibaya you will get the one you want. Tulia utampata tu. Amini huna kasoro, sio kama we si mzuri ila uko bizy na kazi. You are valuable woman, utampata tu hapa mama. Ndoa si uzuri wa sura au kabila lakini ni uhitaji wa mtu kwa muda ule kuwa na mwenza. Hongera kwa kujiamini na kuwa jasiri kufikisha hisia zako. "(samahani kama nitakuwa nimekosea mahali na nikakukwaza)".
 
Pamela, pamoja na vigezo vyote ulivyoviandika vyaweza kupatikana lakini kuwa makini ila ninachokushauri pamoja na vigezo vyanje angalia sana sana vigezo vya ndani,maana vilivyo nje mara nyingi vinaweza kubadilika leo anaweza akawa havuti sigara kesho akaanza kuvuta,Mungu akutagulie tena akupe haja ya moyo wako.
Asante Dorcas,uko sahihi kabisa,na nazingatia ushauri wako naamin na naamin mungu yu pamoja nami na hata niacha kamwe na atanikutanisha na aliyemuandaa kwa ajili yangu.
 
All the best Pam, naamin Mungu atakuonyesha alie bora. Usijali comment za watu kila mtu na vile Mungu alivyomuonyesha njia ya kupata mwenza. Endelea kuomba bila kuchoka. Wote tuliomba sana sana na kufunga mpaka tukapata wenza
Amen,Nakushukuru Alice hata ujasiri wa kulifanya hili ni mungu tu naamini ameniwezesha kwan si kitu rahisi nikizingatia na kila mtu ana uelewa wake wa kucomment.
 
kila la heri dada yangu.... naamini unaweza kumpata aliewako ila wakati mwingine uwe dynamic kwenye vigezo vyako ulivyoweka coz huwezi kujua mtu mzuri anawea kuwayupi.. sometimes anaweza kuwa hana sifa ulizoweka but still good for u
Thanks
Asante sana kwa ushauri na hili ni muhimu sana na nitalizingatia.
 
Mh! Kila la heri mdogo wangu but remember to get hints to identify who is serious to the issue on the ground. Maana hapa JF wamejaa vitoto vya 20yrs, isije wakakuzingua. But any way utafanikiwa tu. Nilikuwa nakushauri usichanganyikiwe ukajiona umri wako ni mkubwa sana hutopata the best, we bado kabinti kadogo tu ulikuwa bado unasoma its why huna mtu wala mtoto. Usijisikie vibaya you will get the one you want. Tulia utampata tu. Amini huna kasoro, sio kama we si mzuri ila uko bizy na kazi. You are valuable woman, utampata tu hapa mama. Ndoa si uzuri wa sura au kabila lakini ni uhitaji wa mtu kwa muda ule kuwa na mwenza. Hongera kwa kujiamini na kuwa jasiri kufikisha hisia zako. "(samahani kama nitakuwa nimekosea mahali na nikakukwaza)".
Kwanza nakushukuru kwa ushauri na maneno yako yakunitia moya,na wala hujaninikwaza kwa lolote hasa hasa umeniongezea ujasiri na kujiamin zaidi,ubarikiwe sana kaka/dada yangu.
 
Habari zenu wakuu,

Mie ni mdada natafuta Mwanaume mwenye sifa hizo hapo chin km tukiafikiana tufunge ndoa,

sifa zake;
Aliye single,Mkristu,umri miaka 32-40,mwenye kazi ya kueleweka au biashara,Elimu Diploma na kuendelea,mwenye mtoto mmoja anakubalika,asiyevuta sigara,

Sifa zangu;Niko single,sijawahi kuolewa,sina mtoto,elimu ya shahada ya kwanza,umri wangu 30yrs,nimeajiriwa nafanya kazi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu mimi kwa atakayekua interested ani PM au pamelamassawe@gmail.com

Tafadhali km unaona haikuhusu usinidhihaki ww pita bila kuandika chochote.

hili sio la mzaha so naomba msilichukulie kimzaha.

Am 31 one single working as a teacher in Arusha,can you accept it?
 
jamani wanagu, Mume hatafutwi namna hii!! umewahi kujiuliza miaka ya 80 tuu hapo nyuma watu walikuwa wanatafuje wachumba? wakati hakukuwa na mtandao wala sim!!?

Pam, najua unaumia kwa kuhisi umri umeenda na hakuna aliyeonyesha intrest, lakini hebu jiulize wewe ulikuwa mtulivu? chote mpaka ukafikia umri huu, jamani watu hawatujui wanaume, tunapenda kuoa msichan aliyetulia, sasa kama ulikuwa unachezea mamba majini, wajamaa wakuja wanakutumia wanapita hayo ndo madhara yake.... lakini ucisijali Muombe Mungu aliye Mwema sana atakusaidia!

lakini Dont rely on this type of networking!!! be very carefuly, unweza ukakutana na Shetani mtu...au mafreemarson!!! si unajua tena dunia watu wameichafua sana kwa mtandao, be very cereful dear!!
 
ha ha ha ha!!! oooooops! unanikumbusha zamani sana mjukuu wangu na kale ka nahau "ya msema kweli?!!" teh teh teh teh !!! hawa wajukuu wamegeuza siasa kuwa hali halisi ya maisha, wanajua ni ngeli zako tu!, mjukuu nwangu, alielala mwamshe mara moja asipoamka tangulia mbele, tah tah tah !!!
 
jamani wanagu, Mume hatafutwi namna hii!! umewahi kujiuliza miaka ya 80 tuu hapo nyuma watu walikuwa wanatafuje wachumba? wakati hakukuwa na mtandao wala sim!!?

Pam, najua unaumia kwa kuhisi umri umeenda na hakuna aliyeonyesha intrest, lakini hebu jiulize wewe ulikuwa mtulivu? chote mpaka ukafikia umri huu, jamani watu hawatujui wanaume, tunapenda kuoa msichan aliyetulia, sasa kama ulikuwa unachezea mamba majini, wajamaa wakuja wanakutumia wanapita hayo ndo madhara yake.... lakini ucisijali Muombe Mungu aliye Mwema sana atakusaidia!

lakini Dont rely on this type of networking!!! be very carefuly, unweza ukakutana na Shetani mtu...au mafreemarson!!! si unajua tena dunia watu wameichafua sana kwa mtandao, be very cereful dear!!
Asante sana nimekuelewa.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom