SmithG
Member
- Aug 11, 2010
- 67
- 2
<br />Wachumba ndani ya JF! Welcome to the world dear. Anza maombi!
<br />
Acha kuwakatisha tamaa wenzio, kama wewe umekosa ni shauri yako
<br />Wachumba ndani ya JF! Welcome to the world dear. Anza maombi!
Please ni PM tafadhali.
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
- Awe na Umri usiopita miaka 40
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi ya Diploma - PhD
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
- Awe tayari kwa uhusiano wa muda mrefu kama tutaelewana
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 45-50
- Elimu yangu: Shahada ya Uzamili
- Kazi: Nimeajiriwa na Kujiajiri
- Sina mke
- Nina watoto wawili
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM au barua pepe gentleman.waukweli@gmail.com
PM na barua pepe zote zitajibiwa 24X7 kwa walio seriously