<font color="purple">yaaaaaaap kuna my Friend ana sifaaa zote ulizo zitaja ila HAJATAHIRIWA, are u ready?</font>
huo utani wa ngumi sasa.
Mbona hukujibu ile ya herufi J&M???
hivi kitufe cha PM kwenye simu siku hizi hakifanyi kazi? Maana nimejaribu mpaka nimechoka. Hizi simu za kichina zinaweza kunikosesha bahati hivi hivi.
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.
Hujajitokeza mbele yetu uko kwenye key board yako, bandika picha yako hapa ili wakuone, pia toa maelezo yanayojitosheleza, kama vile ww ni mjane au umeachika, au hujawahi kupendwa. Umri wa 35 na kuendelea ni umri wa makunyanzi usoni wewe ndio unatafuta mwenza duuuu
Mmmmh! Nina wasiwasi sana na hizi ID mpya ambazo hazijapita hata mapokezi zinakuja moja kwa moja ktk MAHUSIANO na MAPENZI
Nahisi kuna mtu hapa anachezea IQ za wanaume wa JF si bure . . .lol
huo wasiwasi utafanya mfe mkiwa bado mabachela.
Wapo...haya chaguo ni lako , hivi kweli wachumba utapata humu.........?
kwa kweli kigezo cha umri kimewakwaza wengi, at least angeweka twenty something!mmmh! Mi sijafiti hapo nina 33yrs tu, nshakosa mke
Wapo...