Natafuta Mchumba/Mume

hahaha, umeamua kuingia sokoni? sokoni kinachoongea ni bei. you must be ready to be priced, sijui kama yale mambo ya dd vs. ss yanaaply siku hizi, but all da best mamii
 
Kila la heri dada, ningetuma application lakini naona umri unakaba na mchakato wa kuchakachua birth certificate ili kuongeza umri umekwama. Hauwezi ukashusha shusha umri kidogo?
 
Kila la heri dada, ningetuma application lakini naona umri unakaba na mchakato wa kuchakachua birth certificate ili kuongeza umri umekwama. Hauwezi ukashusha shusha umri kidogo?

ha ha ha ha ha,man of substance.......subira yavuta heri,siku si nyingi utampata ambaye hutakiwi kuchakachua chochote.....lol
 
ha ha ha ha ha,man of substance.......subira yavuta heri,siku si nyingi utampata ambaye hutakiwi kuchakachua chochote.....lol

nimewahi kusikia majina yanayoanzia na herufi J na M yakiungana huwa yanaleta muunganiko mzuri sana eti ni kweli?
 
Vipi Mdada cv yako haiuziki huko mtaani/maeneo unayoishi, au umeamua/sikia kuwa hawa wa through key board ndio wana baraka sana!
 
najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

bandika cv yako dada utapata tu. Ol ze best.
 
yaaaaaaap kuna my Friend ana sifaaa zote ulizo zitaja ila HAJATAHIRIWA, are u ready?
 
Najitokeza mbele yenu kutafuta rafiki atakayekuwa mchumba na hatimaye mume wangu. Awe mcha Mungu na mwenye upendo wa kweli. Pia anayejituma katika kutafuta maisha. Umri kuanzaia miaka 35 - 45, dini yake mkristo. Aliye serious na hilo tuwasiliane.

Weka simu bibie, wazee tupo au nitumie email. Sifa zoooote ninazo na za ziada ambazo najua hupendi kuzianika hapa jamvini. I am serious.
 
karibu sana, ombi lako litapokelewa wako vijana wengi huku wako single..pia naona masharti sio magumu.all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom