Natafuta mchumba.......mrs ...to be if our chemistry match

Kisaka80

Senior Member
Feb 4, 2012
151
94
Ningependa ni mwanamke mwenye sifa sifuatazo:

1. Awe Mrefu au mwenye kimo cha wastani (sio mfupi), rangi yeyote ile....(mweusi,mweupe,maji ya kunde...poa tu).
2. Awe na Elimu kuanzia kidato cha 4/ Form iv na kama atakuwa na Elimu zaidi ya juu zaidi......HADI CHUO KIKUU ITAKUA VIZURI ZAIDI.
3. Awe na kazi, mfanyabiashara au mjasiriamali.....poa tu haina shida.
4. Kama hana shughuli ya kufanya basi awe na idea ya biashara au kazi yeyote ile ili tushirikiane ktk kufanikisha hilo.
5. Awe na Dini yeyote ile lakini mimi ni Mkristo wa Romani na sipo tayari kubadili dini yangu, wala yeye asibadili kama hapendi.
6. Asiwe Mwembamba sana....akiwa na umbo la kati au mnene.....will be so great to me.
7. Awe kabila lolote .....hapa Tanzania.

NB: AWE TAYARI KWENDA KUCHECK AFYA ZETU BEFORE MARRIGE.....IF OUR CHEMISTRY MATCH WELL!

SIFA ZANGU

1. Mrefu wa wastani (170 cm).
2. Elimu.....chuo kikuu, na pia ni mwajiriwa
3. Dini....mkatoliki.....roman
4. Rangi...maji ya kunde
5. Siomnywaji wa bia kivileee...but mara chache huwa nakunywa.!
6. Napenda sana mapumziko ya weekend ....outing hasa sehemu tulivu
7. Mpenzi wa Football...mpira wa Ulaya, watching Tv....CNN, BBC, Aljazeera, Citzen
......Mengine tutawasilaina zaidi.



Akina Dadas' You're Warmly WeLcome.......ALL!

NB: Kwa atakayekuwa interested with it Please NITUMIE.....PM! tutawasiliana zaidi..!
 
Itapendeza kama nawe utaweka sifa zako. Maana akina dada nao wana vigezo vyao wanavyovitaka kwa mume mtarajiwa. Kila la heri.
 
elimu form four ....hadi chuo kikuu ndo umeongea nini hapo?

Kiongozi,

Namaanisha kuwa awe na elimu angalau ya form Four .....na kama atakuwa ana elimu zaidi ya form Four itakuwa ni vizuri zaidi.
 
Yaani kama umeniona vilee nina sifa zoooote ila nimekuzidi Urefu kidogo.. Vipi hapo? Niku PM? Na kuhusu Umri wako hujaweka wazi ndugu..
 
-Mimi ninavyo hivyo vigezo sina ajira bali nina idea ya kufanya biashara ya kuuza maandazi
-Umesema sio mnywaji wa bia ....lakini aina nyingine kama kawa?
 
Nenda triple a, wapo kibao, unngekuwa songea au lindi tungekuelewa! Lkn ar kk sifa hizi unapiganiwa,
 
-Mimi ninavyo hivyo vigezo sina ajira bali nina idea ya kufanya biashara ya kuuza maandazi
-Umesema sio mnywaji wa bia ....lakini aina nyingine kama kawa?

Ni kweli sio mnywaji....wa bia,vinywaji vingine baadhi natumia but wewe unaruhusiwa kutumia bia upendavyo...kuwa huru! kuhusu hiyo idea ya busness hakuna shida...tutajadili kwa pamoja! ingia basi chumbani tuongee vizuri!
 
Yaani kama umeniona vilee nina sifa zoooote ila nimekuzidi Urefu kidogo.. Vipi hapo? Niku PM? Na kuhusu Umri wako hujaweka wazi ndugu..

Mimi nina miaka 30 kwa sasa, kuhusu urefu kunizidi hakuna tatizo but usiwe mfupi . karibu chumbani tuongee vizuri....kwa pm!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom