natafuta mchumba/mke

kelvin2000

New Member
Jan 17, 2012
4
0
Naitwa Kelvin,nna miaka 26,home ni Mwanza ila kwa sasa nipo masomoni Dodoma,chuo kikuu.Natafuta msichana aliye serious na tayari kuwa mchumba wangu na hatimaye ndoa kuanzia miaka 18-24.Mimi ni mrefu wa kawaida ft 6.0,mwembamba wa kawaida,rangi maji ya kunde.Nina sifa za ukarimu,upole,mcheshi,mcha mungu,na mkweli.Sifa za yule ninayemtafuta:awe mcha mungu,mrefu wa kati,asiwe mnene sana,sibagui rangi,dini wala kabila,asiyetumia kilevi cha aina yoyote au kuvuta sigara kwan hata mimi sjaribu,asiyependa clubing,awe na elimu angalau kidato cha Nne.Kama uko tayari nicheck kupitia email yangu(kelvinkatemi@rocketmail.com) au 0755550344,kwa maelezo zaidi pamoja na photos exchange.
 
Hapo chuoni Dodoma hakuna wasichana? Au wewe ni bubu? Mwanaume lazima utoe somo kwa umpendaye mpaka lieleweke. Kama una aya tumia kilevi kidogo upate ujasiri. Inasaidia.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom