Natafuta mchumba / mke mwema, i am more than serious

KK jaman mbona unanitsha ehh kwa iyo unamaanisha nikangukia kwa jamaa apa KIRANGA KITANIIISHA AU UNAMAANISHA NIN?
jaman na mimi asi nimemjibu tu?usijali utakuwa best man kakakiiza au sio?
Namaanisha utajikuta kwenye mikono mibaya angalia!
 
ehh katav jaman ..asi angesema mwenyewe mbna ivi?
ebu nkachek inbox yangu mie
mwenyewe ajalalamika nyinyin tu ..muanze muanze ...ehh nyinyi msubiri tu kupangwa kwenye kamat basi ahhh mimi nina urefu wa fut 9.6 km nimekosea ntarekebsha badaye

Ahahahaaah!! mwenyewe huenda hata pm hajui maana yake kwa sababu ni mgeni, ndio maana wadau wanakuomba wewe umuanze!!
 
Nadhani kwa hapo ulipofikia haiwezekani kuwa bado hujampata mwenye sifa hizo unazozitaka, hapo chuo wapo wengi sana, si wanafunzi pekee. Hapo kuna wafanyakazi ambao pia bado hawajaolewa na natumaini wanahitaji kuolewa na wana sifa hizo unazozitaka. Na hata hao wanafunzi sio wote unaowafundisha, tena wengine wamefikia tamati ya masomo yao. Hujapata/huwezi kupata wa kukufaa katika mazingira unayoishi kweli?
Ushauri kwa wanaume wanaotafuta wenza: Tuwe tunajitahidi kutafuta kwa njia za kawaida, mtandaoni iwe last alternative. Tusitafute mteremko kila wakati. Naona hii syndrome ya kutafuta wenza kupitia mtandao sasa imekuwa fashion. Mtu anajiunga JF, post yake ya kwanza; natafuta mke baada ya hapo hana michango mingine.
 
Tumesitisha zoezi kwa muda la kutafuta wachumba humu mpaka waliojitokeza mwanzo waje na shuhuda mbalimbali.ziwe zimekwenda vizuri au zimekwenda vibaya.
 
Si ulisema utahakikisha hauvunji moyo wangu imekuwaje tena mbona naona unaanza kuteleza kwa mwingine kama kambale vile

sasa kwani nauvunja jamani..
Kuna mtu namuulizilia haka ka chance.
Wewe kamoyo kako hakavunjwi hata.
 
Embu kwanza edit hilo jina kidogo..kama wewe ni wa kiume na sio mwanaume hujafikia kuwa na mke.Ila umenifurahisha kwamba umeweka sifa zako na wewe.Ngoja nikupe Thanks...alafu kila la kheri umpate wa kike au mwanamke wakukufaa!

Thanks Madam Lizzy,

Nashukuru kwa kuliona hilo , zaidi nakuomba tu unipigie debe ili mwenzio niweze fanikiwa maana mhmhm nimechoka maisha ya kuwa mpweke!
 
Ahahahaaah!! mwenyewe huenda hata pm hajui maana yake kwa sababu ni mgeni, ndio maana wadau wanakuomba wewe umuanze!!


WEWE katav ukome kumshushia hadhi MTARAJIWA/BABAWATOTO/DIRECTOR NA MUPENZ WANGU...stak kabsa..nan kakwambia ajui pm ninin?wakat kachange ID TU LEO lakin ni mkongwe wa jf usipime

nimempenda ivo ivo mwenyewe mkome tena mkomae kutuvunja moyo...:love::love:

katav niulizie bas vp sasa majibu?au hayupo tena kasepa?
 
sasa sijajua kama tutafanyiwa usaili au lah!! na je kama tutafanyiwa usaili nikifell je itakuwaje?? ila ngoja nitume application zangu!!!

ila sasa hili tumbo la kitimoto na ndizi za kurost ndio litaniangusha hapa lazima Rose1980 anipige bao!!!
 
sasa sijajua kama tutafanyiwa usaili au lah!! na je kama tutafanyiwa usaili nikifell je itakuwaje?? ila ngoja nitume application zangu!!!

ila sasa hili tumbo la kitimoto na ndizi za kurost ndio litaniangusha hapa lazima Rose1980 anipige bao!!!



gugal!!!!!
afadhali wapinzan mjipangue nibak mwenyeweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ...yakinishnda ntarud kuwaambia na nyie mkajaribu bahat zenu...lakin mpk sasa nishampigia simu mwanamboka anitayarishie shela ya kitenge mie nipande nayo mazabaoni nikafanye mambo mmh m sor iv bwana harus din gan vile.....??????:help:
 
Kamati ya wageni itanifaa zaidi..



mhh jaman kamat ya wagen na ayo masikio?
apana
labda uende kwa fund seremala akachonge masikio ayo na msumeno yakikaa sawa apo sawa lasivyo utakuwa kamat ya usaf utakuwa choon kuangalia usaf wa choo:love::love:
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom