Natafuta mawasiliano ya Katibu Mkuu Utumishi

mapinduzi daima

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
1,725
2,698
Waungwana wenzangu JF

Poleni na pilika pilika za maisha ya kila siku.
Katika mwitikio wa kujenga Nchi,

Kwa heshima na taadhima natafuta namba ya simu ya Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro.

Mwenye nayo tafadhali wakuu.
Natanguliza SHUKURANI kwa yeyote mwenye nayo...
 
Tovuti ya serikali
 
Nenda ofc ya utumishi dar pale karibu na wizara ya ardhi utapewa kama upo mkoani nenda ofc yoyote ya serikali ulizia afsa utumishi ukimpata mwambie shida yako....
 
Back
Top Bottom