Natafuta Marafiki

silent_soldier

Senior Member
Aug 10, 2015
193
62
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume.

Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk

Nimemaliza kidato cha sita, ninatazamia kuanza masomo ya Elimu ya Juu baadae Novemba.

Niandikie wasup +255716984810
 
Si useme tu una tafuta demu
 
Mimi nakuwa adui yako kuanzia sasa
 
Watu mna mbwembwee.....
inamaana toka ulipo anza kusoma hadi umemaliza kidato cha sita, ulikuwa huna malafiki......
sema unatafuta demu....!!!!!
 
Back
Top Bottom