Natafuta marafiki

Mi mzima bukheri wa afya, hofu na mashaka ni kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu (Barua za kizamani)
hhhaaahhahahahahahh!!!!!!!!lol wazee wa zamani nao hawavumi lakiiini!! .......!!!!!!!
 
Unajua zamani kila kitu kilikuwa kinakwenda systematic so hata muundo wa barua za "Mapenzi" ulikuwa na fomulae
hahahahhaah!!!!! but ilikuwa raha nkikumbuka barua nliyokuwa na andikiwa eti "embe dodo la barua hii ni kukujulia hali" mi full kuchoka!!
 
hahahahhaah!!!!! but ilikuwa raha nkikumbuka barua nliyokuwa na andikiwa eti "embe dodo la barua hii ni kukujulia hali" mi full kuchoka!!
Hahahahaaa "Embe dodo" Haya bhana isijekuwa wengine walikuwa wanaandika sukari guru, asali na tende au maziwa....Lol!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom