natafuta marafiki

ngony

Senior Member
Feb 7, 2012
153
17
hi Jf members, hope u r all ok. natafuta marafik wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo,awe anasoma kuanzia form 5 mpka university first year,miaka 18-22,awe mstaarabu.
 
@KANCHI.huku kuna watu wenye heshima! ndo maana natafutia huku. besides hili ni jukwaa lina urafiki pia so sikuona km ni tatizo kutafuta marafiki.
 
@Horsepower.mbona watu wanatangaza kutafuta wapenz na wa wake? sijaona tatizo mi kutafuta rafiki. sidhani km kila kinachoandikwa jf ni lazima kiwa cha kujadili. kwa mfano watu wanatoa jokes utadiscuss nini?
 
@Horsepower.mbona watu wanatangaza kutafuta wapenz na wa wake? sijaona tatizo mi kutafuta rafiki. sidhani km kila kinachoandikwa jf ni lazima kiwa cha kujadili. kwa mfano watu wanatoa jokes utadiscuss nini?

acha ubishi ndugu humu si wote ni marafiki ndo mana tunapeana ushauri ktk mambo mbalimbali,ila kama hulitambui hilo nenda face1000 kule ndo kuna friends request na c hap jf.
 
kutaka wadada tu nawasiwasi na wewe si sehemu yake hii nenda fb mkatafutane huko
 
Sasa vigezo vya nini kama unatafuta rafiki tu?

hata wewe pia kuna aina y marafik ambayo wenzako wanao lakini we hauna. kwa mfano mama wa miaka 56 urafik wetu unakua mgumu kdogo, mkilingana kdogo inasaidia. kumbuka BIRDS OF THE SAME FEATHER FLY TOGETHER! ndo maana nikaweka vigezo mkuu wangu
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom