Natafuta Mapacha Niwaoe Marafiki wa kike wanaopendana sana

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
13,387
9,755
Soma Tangazo mapacha wa kike wajitokeze Nitawaoa wote ila wasijekuwa Watatu Sitowaweza na kama kuna Mabinti wanaopendana Sana yaani mabest friends nao wajitokeze kwenye Interview kama watapita...

Special Offer...Ushauri pia nakaribisha
Nahitaji niwepo kwenye historia ya nchi na Ya Dunia
 
kama kila mtu angekuwa anafanya vile anajisikia na kutaka leo hii watu8 ningekua naishi Siberia, ili dunia initambue kuwa mweusi wa kwanza kutoka Tanzania kuishi huko.
 
kama kila mtu angekuwa anafanya vile anajisikia na kutaka leo hii watu8 ningekua naishi Siberia, ili dunia initambue kuwa mweusi wa kwanza kutoka Tanzania kuishi huko.
Siberia Mpya
 
iiiiiiiigh ndo uoaji unakuwaga hivyo......?
Ndio mabadiliko wajua mapacha na mabest friend huwa wanatamani kuwa pamoja milele sasa kama offer hii wataipenda ndoto yangu itatimia
 
Kwa hiyo hutawaoa kwa sababu ya ndoa halisi ni unataka tu kukuza jina, haya na hao watakaojitokeza wana matatizo.
 
Soma Tangazo mapacha wa kike wajitokeze Nitawaoa wote ila wasijekuwa Watatu Sitowaweza na kama kuna Mabinti wanaopendana Sana yaani mabest friends nao wajitokeze kwenye Interview kama watapita...

Special Offer...Ushauri pia nakaribisha
Nahitaji niwepo kwenye historia ya nchi na Ya Dunia

Kwa kuoa mapacha? Labda ungesema kwa kuolewa na mapacha.
 
Tafuta wimbo wa Soggy Doggy,
unaitwa KURWA NA DOTO.

Mule utapata ushauri mzuri tu
 
Kwa hiyo hutawaoa kwa sababu ya ndoa halisi ni unataka tu kukuza jina, haya na hao watakaojitokeza wana matatizo.
Sihitaji kukuza jina mimi kwanza ni Undercover sana... Nataka tu ndio mapenzi yangu hayo na si vinginevyo kialisia bebii hebuni PM please unaweza nisaidia
 
Ebu weka vitega uchumi vyako kwanza.
Siwezi kuweka hadharani hivi vipo ki faragha zaidi ila maisha yangu si mabaya ndio maana nahitaji Double hiyo naweza kuwamudu wenyewe na watoto pia hata waijapatikana mapacha
 
Unamaanisha nini wewe zomba au hujanielewa mimi nina uwezo wa kuwamiliki

Ndiyo rikodi ya dunia? labda wakuoe wewe ndiyo iwe rikodi. Kuoa siyo kumiliki.

Wasome wenzako hawa wameshafanya zamani, sasa rikodi itoke wapi?

[h=1]The twin sisters who share a HUSBAND (and he's also married to their cousin)[/h]
  • Darger quartet live together and have 24 children between them
  • Twins married in Mormon ceremonies, while cousin became legal wife
  • Joe Darger alternates between each of their bedrooms every evening
  • He wants to change attitudes and even get polygamy decriminalised

Read more: Mormon twin sisters Vicki and Valerie Darger share a HUSBAND who's also married to their cousin | Mail Online
 
Sihitaji kukuza jina mimi kwanza ni Undercover sana... Nataka tu ndio mapenzi yangu hayo na si vinginevyo kialisia bebii hebuni PM please unaweza nisaidia

Ndio umeandika nini sasa?? nini maana ya undercover alafu unataka kuoa mapacha!! Nenda shule kwanza!!
 
Soma Tangazo mapacha wa kike wajitokeze Nitawaoa wote ila wasijekuwa Watatu Sitowaweza na kama kuna Mabinti wanaopendana Sana yaani mabest friends nao wajitokeze kwenye Interview kama watapita...

Special Offer...Ushauri pia nakaribisha
Nahitaji niwepo kwenye historia ya nchi na Ya Dunia

Wewe ni mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom