Natafuta mama wakunilea

Ni wazo zuri sana, but wote twajua fika kuwa wanawake ni weak
so ni bora kama utalitafuta JIBABA ili likulee vizuri.
 
Bora nirudi zangu kijijini,
Nikaendelee kukata mkaa wangu wa enzi,
Maisha haya mama siwezi,
Najua pesa ndo zinakufanya ujisikie,
Na uweza kumnunua utakae,
(endelea,,halaf ufikiri)
 
Kwa shuga mamy liekuwa ready to take me am here.0717-927771

Mashugamamy wa bongo hawana helaza kutosha kukulea mtoto mzuri kama wewe, ni PM kuna Muitaliano mmoja anahitaji kijana wa kiume wa kumlea, believe me utalelewa hadi uleleke!!Just PM me baby boy
 
Kwa shuga mamy liekuwa ready to take me am here.0717-927771

Afu Ibra mambo gani hayo ya kujiaibisha jamani? Anyway, as I said Muitaliano yuko serious na kama utakuwa tayari mtaenda kuishi FILADEFIA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom