Natafuta Majina ya aina hii

Wakuu wana-JFNaomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu. Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa. Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.Natanguliza shukrani zangu za dhati.ShidaMtumwaJalalaMasumbukoMkosamaliSiwemaMajuto....
sikudhaninalogwamkumbosihabamashaka...
 
  1. Wema ( wote tunamjua)
  2. Sepetu ( baba wa binti mmoja aliwahi kuwa miss)
  3. Mwanaheri (anauza vitumbua hapa nje kwetu)
  4. Jamvi (sana ZNZ na Tanga)
  5. Mateso (sonara Keko)
  6. Sijaona ( muosha vyombo hotelini pale Hilton)
  7. Chausiku (yuko pale manyanya anauza unga)
  8. Lawama (RIP)
  9. Kombo
  10. Heri
 
Tuendelee........
Havijawa
Havintishi
Masimango
Wasiwasi
Mashaka
Sikujua
Semeni
Riziki
Majuto
Zabibu

unataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?

Nashukuru sana Preta kwa huu mchango. Umenisogeza mbali katika ninalokusudia.
Hayo yanayoanza na Mwa..... pia yananifaa ila ningependa yale yaliyo ki-negative zidi kama Kufakunoga etc.
 
  1. Wema ( wote tunamjua)
  2. Sepetu ( baba wa binti mmoja aliwahi kuwa miss)
  3. Mwanaheri (anauza vitumbua hapa nje kwetu)
  4. Jamvi (sana ZNZ na Tanga)
  5. Mateso (sonara Keko)
  6. Sijaona ( muosha vyombo hotelini pale Hilton)
  7. Chausiku (yuko pale manyanya anauza unga)
  8. Lawama (RIP)
  9. Kombo
  10. Heri

Thanks Mkuu Kamalela.
 
Nimetoa majina haya kwenye kamusi, majina ambayo hutumiwa kama majina ya watu lakini kule yana maana zake. Kama unafanya utafiti pekua kwenye kamusi utaona zaidi.
Adili
Adibu
Adimu
Ahadi
Amana
Amani
Ambari
Asaa/Asaaheri
Azizi
Bahati
Baraka
Baruti
Bashiri
Bimkubwa (Wapemba)
Bishara
Breki au Breik (Washihiri)
Bwanga
Chema
Chenge
Cheusi
Chuki
Dau
Dawa/Kidawa
Dobi
Dodo
Dude
Dume
Enzi
 
Unataka majina ya nini wewe?
Wakuu wana-JF
Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu.
Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa.

Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Shida
Mtumwa
Jalala
Masumbuko
Mkosamali
Siwema
Majuto
....
 
Nenda CCM majina hayo yapo
Wakuu wana-JF
Naomba msaada wenu ili kukamilisha utafiti wangu.
Natafuta majina ya kiswahili yanayofanana na machache niliyoorodhesha hapa.

Naomba nisisitize kuwa huu ni utafiti tu, sikusudii kuwaudhi au kuwadhalilisha kwa njia yeyote wenye majina hayo.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Shida
Mtumwa
Jalala
Masumbuko
Mkosamali
Siwema
Majuto
....
 
Tuendelee........
Havijawa
Havintishi
Masimango
Wasiwasi
Mashaka
Sikujua
Semeni
Riziki
Majuto
Zabibu

unataka tuweke na yale ya kina Mwanakombo,Mwanamkuu, Mwanamvua, n.k?
Riziki na Zabibu mbona bomba tu?
 
Saa nane,jua kali,mmwezi,maringosaba,sawaka,chausiku,semeni,pesambili,zawadi,mashaka,mkama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom