Natafuta mademu wanaotongoza wanaume!!

hembu tumia lugha nzuri?? hembu angalia huko kwenye red!! sijapenda kwakweli!!

unatudhalilisha!! au unatuchokoza?? kama kuna mtu kakuelekeza mwambie kakosea njia!!

alafu unge attach na picha yako kabisa.

mmh hapo kwenye red hapo kuna kazi
 
Kwa hiyo umeona humu kuna magubegube ambayo yanatongozan wanaume au..??
Naomba nicheke mie..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom