Natafuta mademu wanaotongoza wanaume!!

Mike2011

Member
Mar 8, 2011
62
1
halo kwa wadau wote wa JF.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.
 
hembu tumia lugha nzuri?? hembu angalia huko kwenye red!! sijapenda kwakweli!!

unatudhalilisha!! au unatuchokoza?? kama kuna mtu kakuelekeza mwambie kakosea njia!!

alafu unge attach na picha yako kabisa.
 
Kinondoni makaburini na Jolly's club wapo wengi tu
 
Kimboka na Sewa pale Buguruni Bei maelewano. Halafu Temeke Hospitali Upande ule wa pili eneo maarufu wanalokaa Wapemba pale kuna kichochoro kidogo ni maarufu sana hicho kichochoro Bei ilikuwa 500 lakini baada ya kuongezeka wachina waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa bei ikapanda na sasa ni 1,000
 
tembea usiku barabara y sheklango road from sunsiro 2 bamaga utawakuta wengi.
 
Unatongozeka lakini?Maana hata wadada wapo wasiotongozwa!Jiweke soap soap...jifanye mambo safi utanaswa tu!
 
halo kwa wadau wote wa JF.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.

Mkuu

Post yako ya kwanza tu JF unataka UTONGOZWE???
Unataka wangapi mkuu??
Pale Ohio Street unachukua hata wa4 kwa mkupuo, lakin uwe angalau na gari hata kama ni la kuazima
Watakukamua mpaka ujute kupewa hicho kidole cha 21
Humu ndani kuna Warembo, Mabinti, Wanawake, na Wasichana ila huruhusiwi kuchukua zaidi ya mmoja.
Halafu wengi wao wanasifa nzuri, wamekamilika kimwili, kiimani na kiakili
 
Uwawanja wa fisi wapo, ukimnunulia muhogo na chachandu unaenda piga mzgo, hawatak pesa au mpe tu supu ya utumbo wa kuku mwenyewe anakupa mzgo tena nyama kwa nyama.
 
Nafikiri kwa post hizo chache umeshapata maeneo kibao utakazoweza kupata kile ulichokuwa unahitaji.
 
Nafikiri kwa post hizo chache umeshapata maeneo kibao utakazoweza kupata kile ulichokuwa unahitaji.
 
Kimboka na Sewa pale Buguruni Bei maelewano. Halafu Temeke Hospitali Upande ule wa pili eneo maarufu wanalokaa Wapemba pale kuna kichochoro kidogo ni maarufu sana hicho kichochoro Bei ilikuwa 500 lakini baada ya kuongezeka wachina waliokuwa wanajenga uwanja wa Taifa bei ikapanda na sasa ni 1,000

Unatisha kaka.
 
halo kwa wadau wote wa JF.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.

Wewe unataka mwanamke, demu mzuri au mademu??

Kwa umri wako nafikiri ni vizuri ukafikiria kupata mke.. Badilisha mtazamo wako. Ukiwa na nia ya kweli ya kuweka mke ndani huna hata haja ya kwenda kozi ya kumtafuta/kumtongoza. Mambo yatajipa yenyewe. Hebu jipange sawa sawa kimaisha na kiakili ili uandae mazingira ya kuwa na mke na sio demu.
 
hembu tumia lugha nzuri?? hembu angalia huko kwenye red!! sijapenda kwakweli!!

unatudhalilisha!! au unatuchokoza?? kama kuna mtu kakuelekeza mwambie kakosea njia!!

alafu unge attach na picha yako kabisa.

sawa sijataka kuwa-disrespect ni mpangilio tu wa maneno haujakaa vzur sory kwa hilo ila msg umeipata?nataka mwanamke mwenye heshima yake ambaye anaweza kumuapproach mwanamme:nimpate wapi?
 
halo kwa wadau wote wa JF.mimi ni kijana wa miaka 30,nashindwa kumtongoza mwanamke kwani nnapo muona demu mzuri hua nashindwa kuongea kabisa!sasa naomba msaada wenu:niwapate wapi mademu ambao hawasubiri kutongozwa ila wao ndio wanaanzisha mchezo??natanguliza shukrani zangu.
Hapa ufumbuzi ni mdogo tu, kwa kuwa tatizo lako ni kutongoza mademu wazuri, anza na mademu wabaya,ukishapata uzoefu utajua vipi vya kuwaingia mademu wazuri
 
Kimboka na Sewa pale Buguruni Bei maelewano. Halafu Temeke Hospita.....hicho kichochoro Bei ilikuwa 500 lakini baada ya kuong......wanajenga uwanja wa Taifa bei ikapanda na sasa ni 1,000

duh sasa huu sio ushauri tena ni kuuana!unanitakia mema kweli kaka?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom