Natafuta machine ya kutengeneza juice(kwa ajili ya kiwanda kidogo)

Kamongo

JF-Expert Member
Mar 20, 2009
1,957
2,068
natumaini wote ni wazima mimi ni mjasiria mali wa matunda nina wazo la kuwa na kiwanda kidogo cha juice(Back yard Industriery)cha juice ya mapera water melon etc, sasa nauliza wapi naweza kupata machine ya kuprocess hizo juice kwa bei nafuu.
wasalisha
 
Mkuu hiyo juice unataka ukishaipata uizeje kwenye vikombe au uipack labda?
 
machine china , au india unapata kwa bei nafuu, ukilnganisha za ulaya ni ghali sana
nenda kwenye alibaba utapata bei tofauti kwa uwezo wako
 
Back
Top Bottom