natafuta laptop

Sir_Finus

JF-Expert Member
Mar 31, 2011
330
139
tsup?
Natafuta laptop used yenye spec hizi
2ghz n abve
2gb ram n abve
250gb n abv
14 inch n abve
Tshb,hp or del
Iwe below 570,000tsh!
Yeyote ambaye anauza,plse cntact me 0715955896 or 0769724864..nipo Arusha maeneo ya sakina...
 
Mbona LT za kumwaga siku hizi huhitaji kutafuta zipo mya ,mitumba na kadhalika,ukienda kariakoo zipo kibao na zina specs kama ulizotaja,bei makubaliano,pia pale Ubungo Shekilango millenium bussiness park kuna maduka kama matatu hivi napo zipo za kumwaga ni wewe na vijisenti vyako tu,au uko mkoa kaka?
 
mkuu,,mimi nina toshiba, 3gb ram, harddisk 300 gb, processor 2.2Ghz lakini ni two cpu's, dual core,,,, nipo arusha, maeneo ya njiro, contact mimi pia ni 0717321336 or 0785131616,,ila bei yako mzeiyaa,,, ipo chini sana,,
 
Mbona LT za kumwaga siku hizi huhitaji kutafuta zipo mya ,mitumba na kadhalika,ukienda kariakoo zipo kibao na zina specs kama ulizotaja,bei makubaliano,pia pale Ubungo Shekilango millenium bussiness park kuna maduka kama matatu hivi napo zipo za kumwaga ni wewe na vijisenti vyako tu,au uko mkoa kaka?

Mfianchi tafadhali toa maelekezo kidogo kuhusu hiyo millenium business ilipo make hata mimi nina shida sana na laptop mtumba. Ni barabara ya shekilango au ni barabara ya morogoro? Asante sana kwa msaada wako.
 
Ewa ukitokea Sinza kama unaelekea mjini uakata kona kwenye barabara ya Morogoro kuelekea mjini upande wa kulia kuna ofisi nyingi kwenye hilo jengo kubwa nafikiri linapakana na kiwanda cha nguo cha urafiki zamani kama sikosei palikuwa kiwanda cha nyavu,hapo kuna kampuni kama tatu zote wanauza kompyuta ni kompyuta murua ,pia kuna ofisi za bata shoes,dar express,mohmed trans na gazeti la Raia Mwema
 
Nashukuru sana. Pamoja na kuwa mara nyingi nimekuwa nikipita mitaa hiyo sikuwa nimebahatika kuona hicho kitu. Asante sana kwa info muhimu nitapita niangalie kama naweza kubahatisha.
 
Mbona LT za kumwaga siku hizi huhitaji kutafuta zipo mya ,mitumba na kadhalika,ukienda kariakoo zipo kibao na zina specs kama ulizotaja,bei makubaliano,pia pale Ubungo Shekilango millenium bussiness park kuna maduka kama matatu hivi napo zipo za kumwaga ni wewe na vijisenti vyako tu,au uko mkoa kaka?

Npo mkoan datz y kaka!
 
Nashukuru sana. Pamoja na kuwa mara nyingi nimekuwa nikipita mitaa hiyo sikuwa nimebahatika kuona hicho kitu. Asante sana kwa info muhimu nitapita niangalie kama naweza kubahatisha.
Karibu hilo nalo neno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom