Natafuta laptop mpya ya kununua kwa bei nzuri naomba msaada

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
Waheshimiwa naomba msaada natafuta laptop mpya i mean not used au notebook ambayo ni nzuri na kwa bei nafuu nani anajua wauzaji wazuri na wenye ubora na ambao ni trusted. please naomba ushauri pia kuhusu aina nzuri na specification
 
Back
Top Bottom