Natafuta kiwanja nina milioni 3

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20.

Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja pasipo kupitia kwa dalali?

Wazoefu naomba mnisaidie.
 
nenda jangwani uliza mkuu wa mkoa wa dar saddick atakusaidia zaidi akikosa atakupa vile vya kuleeeeeeeeeeee onyo usichague kiwanj kiwanja
 
nenda jangwani uliza mkuu wa mkoa wa dar saddick atakusaidia zaidi akikosa atakupa vile vya kuleeeeeeeeeeee onyo usichague kiwanj kiwanja

Nadhani ubongo wako upo kwenye masaburi sio kichwani.
 
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20.

Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja pasipo kupitia kwa dalali?

Wazoefu naomba mnisaidie.

Dunduliza tena ifike hadi 10m angalau. Kule Mapinga katikati ya wilaya ya Kinondoni na Bagamoyo utapata kiwanja cha haja.
 
Ni PM nina viwanja zaidi ya 30 vipo kimara,madale,kigamboni(sio kwenye mradi),bunju,bagamoyo,ukubwa robo heka,nusu heka,heka moja,heka mbili heka tatu na heka tano.

Bei kuanzia mil2 na kuendelea!
 
kiwanja cha 3mil kipo Kerege Matumbi. Kerege Matumbi ipo umbali wa kilomita moja toka katika
barabara iendayo Makao makuu ya wilya ya Bagamoyo. Kipo karibu na kituo cha uwekezaji cha EPZA kunakoanza kujengwa viwanda sasa. Kuna barabara nzuri na bomba la maji ya Dawsco limepita jirani. Hapo pana shamba limegawanyika katika maeneo madogo madogo kadiri ya mahitaji ya mtu. Barabara za kuingia katika kila eneo kwa gari zipo.
 
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20.

Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja pasipo kupitia kwa dalali?

Wazoefu naomba mnisaidie.

Nipigie kwa namba 0713596266 ninavyo viwanja kadhaa kuanzia 3.5 million to 2million viko Mbezi makabe(Km 3.5 kutoka morogoro road pale stand ya mbezi mwisho)na mbezi msakuzi Km 4.5 kutoka morogoro road pale stand ya mbezi mwisho)
 
Mkuu, ni Msakuzi ipi hiyo nijulishe tafadhali,
Je kwa Ipelanya, au Makamba P/school au kwa masister? Mie nataka kule kwa Mkapa, unacho?
 
20 x 30 kwa Tshs 3.5 Million, Mbezi Luis.
Sema Na huyu mtu, 0755 532 666,
 
20 x 30 kwa Tshs 3.5 Million, Mbezi Luis.
Sema Na huyu mtu, 0755 532 666,

mkuum20x30 ni nini?..meter. futi au MIGUU?..maana hata mie nahitaji ila iwe ni meters.... natumai huyu mwenye namba ni mmiliki na sio middoman...

nipe jiografia ikiwamo kufikika na gari pia na uwepo wa umeme, usisahau milima na mabonde ya eneo...maana hii mbezi na kimara unaweza kununua kiwanja 3m ukatumia 20m kukitengeneza na magreda...NIPO SERIUOUS PLIZ
 
vipo 3.5M, 4M and 6M; Gezaulole- ni vikubwa sana ... ukubwa vinaanzia 20(+) x 25(+) - viko kwenye barabara ya mtaa- viko squared, hakuna muinuko wowote, ni full tambarare- eneo ni squatter lakini sio congested kabisa (nyumba za majirani zipo za ukweli za kutosha)- umeme uko 100 - 500mtrs from many of the said plots (wanasubiri tranformer ya tanesco lkn nguzo zimeshawekwa)- hizo ni bei za jikoni, hakuna cha juu hapo- if seriously interested ni PM, nikuunganishe na wenye mali (niko available weekends tu!)
 
mkuum20x30 ni nini?..meter. futi au MIGUU?..maana hata mie nahitaji ila iwe ni meters.... natumai huyu mwenye namba ni mmiliki na sio middoman...

nipe jiografia ikiwamo kufikika na gari pia na uwepo wa umeme, usisahau milima na mabonde ya eneo...maana hii mbezi na kimara unaweza kununua kiwanja 3m ukatumia 20m kukitengeneza na magreda...NIPO SERIUOUS PLIZ
Hizo ni mita mkuu, Na mwenye kiwanja ni mdada nlishawahi kupiga nae issue fulani hivi ndio akanstua. Kiwanja ni tambarare Na kiko mtaa poa tu. Better ucheki Na mdada akupe more details.
 
Kuna kiwanja kimeshajengwa nyumba ya vyumba 3, sitingroom, jiko, dining room pamoja na vyoo ndani. Chumba kimoja ni master, imebaki kupaua tu ni ya rafiki yangu wa karibu, ipo bunju b bei haina maelewano ni M15. Mimi sio dalali ila ni lazima unipoze maji ya kunywa kama laki 5. Cell 0713664326
 
Mkuu, ni Msakuzi ipi hiyo nijulishe tafadhali,
Je kwa Ipelanya, au Makamba P/school au kwa masister? Mie nataka kule kwa Mkapa, unacho?

Ninavyo maeneo ya kwa mkapa,we ni call 0713596266 nikupele ukaone
 
Back
Top Bottom